Ijapokuwa Rijk Zwaan ilifunga mwaka wake wa fedha hivi karibuni, na faida na mapato kushuka kidogo, kwa kiasi kikubwa kutokana na nguvu ya euro, kampuni inaendelea kupanuka na kuwekeza sana katika utafiti na uzalishaji wa mboga.
Mwaka huu tena, tumefurahi kuwafadhili wageni kutoka nchi mbalimbali za Africa ndani ya Arusha, Tanzania kwa ajili ya maonyesho yetu ya kimataifa. Vidokezo katika video hii!