
Pamoja na washirika wetu
Tunataka kushiriki kikamilifu katika usambazaji wa chakula duniani
na kuchochea matumizi ya mboga
kwa kuwekewa misingi ya afya na mboga zinazovutia.
Ushuhuda wa Emmanuel
'Fursa ya biashara ya ajili ya mboga katika Afrika'

Aina mbalimbali za mbegu
Kwa kila soko na mazingira ya ukuaji
Rijk Zwaan inatoa aina nyingi za mbegu za mboga zenye ubora wa juu. Tunachagua na kujaribu mbegu hizi kwa umakini mkubwa kuhakikisha zinafaa kwa kulima barani Afrika.
Anagalia kitabu cha bidhaa mtandaoni
Ushauri kwa wakulima
Ushauri wa kibinafsi
Kulima Mboga kunahitaji ushauri wa binafsi. Hii ndiyo sababu uhusiano wetu na wakulima unaenda zaidi ya uuzaji wa mbegu pekee.
Soma kuhusu msaada kwa wakulima
Ushirikiano na Miradi
Jitihada za pamoja
Kuendeleza Kilimo cha mboga Afrika ni kazi kubwa na ngumu ambayo inahitaji jitihada za pamoja na washikadau mbalimbali katika sekta hii.
Jifunze zaidi kuhusu