Kiswahili Kenya

Kazi

Malengo ya baadae na Rijk Zwaan

Moja kati ya malengo muhimu ya Rijk Zwaan ni kuwapa wafanyakazi wake kazi ya muda mrefu na ya kufurasha kwenye mazingira mazuri. Kwenye kampuni ya familia, kila mtu anauwezo wa kufanya kazi kwa uhuru; mazingira ya kufanya kazi yanatia moyo na yasiyo rasmi. Mfanyakazi halisi wa Rijk Zwaan ni makini , mwaminifu na anafanya kazi kwa kushirikiana na wengine

 

 

Changamoto na Maendeleo

Rijk Zwaan inataka watu wapya na wenye kujituma. Ukifanya kazi na sisi, unauhakika wa nafasi yako ndani ya kampuni inayokua kwa kasi, yenye nguvu na mara nyingi ni kazi ya kimataifa; kazi ambayo itakupa changamoto kwa kipindi chote cha maisha yako ya kazi na pia utaweza uendelea mpaka kilele cha juu kabisa cha kazi yako.

Je! Unapenda kufanya kazi na Rijk Zwaan? Angalia hapa kwa nafasi za kazi www.rijkzwaancareers.com​