Kiswahili Kenya

Msaada wa masoko

Uwezo Mkubwa

Duniani kote, watu wote wanaangalia bara la Afrika. Makampuni mengi na serikali nyingi zinagundua uwezo mkubwa wa bara hili. Nchi za kiafrika zenye tabaka la kati linalokuwa na zile zilizo na uwezo wa kuuza bidhaa nje ndizo zinazoonyesha uwezo mkubwa zaidi.

Hapa Rijk Zwaan, ujuzi wetu hauishii kwenye uzalishaji wa mazao tu.  Zaidi ya kuongeza thamani ya  mazao tunawapa washirika wetu mbinu mpya za kujiimarisha kimasoko. Wakati mwingine tunawakutanisha wakulima na wauzaji wa rejareja, wasindikaji wa mboga na washirika wengine wa mnyororo wetu ili kuinua ubora na mauzo ya mboga.

 

Unaweza kutarajia nini kutoka kwetu?

  • Mtandao mkubwa wa kimataifa ndani ya mfumo wa kimataifa wa kilimo cha mboga
  • Mazao na mtazamo tofauti
  • Taarifa kuhusu ladha na virutubisho
  • Maekezo ya kusisimua ya taratibu njema (za kilimo cha mboga) kupitia mtandao wetu wa Chainmail
  • Kwa maelezo zaidi tembelea ukurasa wetu wa Solutions katika tovuti yetu.

Ushuhuda wa Alioune

'Fursa za mauzo kwa wakulima ndani ya nchini'

Soma Ushuhuda