Kiswahili Kenya

05 Nov 2021

Miongozo ya Mazao Inapatikana

Rijk Zwaan husambaza mbegu bora za mboga, lakini tunajua kwamba wakati mwingine msaada wa ziada unahitajika ili kufanikisha mazao.

Miongozo ya mazao

Ukuzaji wa mboga unahitaji ushauri  maalum, hivyo basi ushiriki wetu na wakulima huenda mbali zaidi ya kuuza mbegu tu. Ndiyo maana tunatengeneza miongozo ya mazao ambayo ni rahisi kufuata. Seti ya kwanza inapatikana kwa wewe kupakua bila malipo kwenye kiungo hiki: https://www.rijkzwaanafrica.com/crop-guides. (Tafadhali kumbuka kuwa miongozo ya mazao inapatikana kwa Kiingereza pekee kwa sasa.)

Washirika

Kupitia washirika na wasambazaji wa Mbegu zetu tunalenga kukupa ushauri bora wa aina ya gani ya Mboga Mboga itakayofaa kwa mazingira yako, na ni muhimu kutumia  aina hizo kwa matokeo bora. Pamoja na washirika wetu tunajitolea kwa hali na mali Elimu na Ushauri.

Mawasiliano

Tunaamini kwamba utapata miongozo hii ya mazao kuwa muhimu, na kwamba utarudi kwetu na maswali yoyote. Unaweza kupata mtu anayefaa kuwasiliana naye kwa nchi yako hapa https://www.rijkzwaanafrica.com/contact