Kiswahili Kenya

Pata aina inayokufaa

Rijk Zwaan inakupa aina nyingi na bora za mbegu za mboga. Tunachunguza na kujaribu kwa umakini mkubwa aina hizi za mbegu kuhakikisha zinafaa katika mazingira ya Afrika Mashariki,Africa Magharibi au hata Afrika ya Kusini. Zaidi ya kuuza mbegu, tunatoa ushauri wa uhakika kuhusiana na mbegu zetu na ushauri wa kitaalam kutoka kwa wataalamu wetu wa kilimo. Hii inakuhakikishia uwezo wa kuanza kwa mafanikio msimu wako wa kilimo.