Emanuel Urio ni mkulima wa mboga jijini Arusha, Tanzania. Kwa miaka michache iliyopita amekua akipokea ushauri kutoka Rijk Zwaan. Wanamsaidia kupata mazao bora na kumjulisha juu ya mbegu chotara ya kwanza ya ngogwe.