Historia ya Rijk Zwaan

Ukuaji wa asili na utumiaji wa fursa

Mr. Rijk Zwaan ni mjasiriamali wa kweli. Mwaka 1924 alifungua duka la kuuza mboga, maua na mbegu mjini Rotterdam and baadae alianza kutengeneza mbegu zake mwenyewe. Miongo mingi baadae vizazi vipya vimeendeleza kazi yake kwa shauku kubwa.

Kampuni inayoendeshwa na familia

Mtazamo wetu kila mara umekuwa juu ya kufikia ukuaji wa kawaida na kuchukua fursa mbalimbali. Fursa hizo zitokana na maendeleo kiteknolojia au maendeleo ya kimataifa, na wafanyakazi wetu wanojihusisha na wajasiria mali na walio na hisia nyingi za kufanya kazi kwa pamoja wametuwezesha kupata faida.

Baada ya muda mfupi wa kumilikiwa na BP, Rijk Zwaan ilijitoa na kua mapuni huru inayoendeshwa na familia toka mwaka 1898. Hapa ndipo malengo ya kampuni yetu yalipitengenezwa: kuwapa wafanyakazi wetu kazi ya kufurahisha na ya muda marefu kwenye mazingira mazuri

 

Msingi Imara

Rijk Zwaan imekua kwa nguvu sana katika miaka 30 iliyopita. Kama washiriki wakuu katika uzalishaji wa mboga, sasa tuna nadasi muhimu kwenye jamii. Tamaduni yetu na ushirikiano na wadau huleta msingi na mizuri kwa sisi kutumia nguvu chanya katika changamoto zinazokabili dunia leo.

 

 

Kusaidia na kuhamasisha

Pamoja na utaalamu na kuwa kimataifa, tumebakia kua kampuni ya familia. Hapa Rijk Zwaan, watu ni zaidi ya rasilimali watu. Kila mmoja wetu anavipawa, mawazo, matarajio pamoja uhuru wa kutoa sura kwenye njia zao wenyewe. Badala ya faida na ukuaji kua moja ya malengo yetu ya msingi  hua ni matokeo tu ya mikakati ya Rijk Zwaan 

Pia kujitahidi kujenga mazingira yenye faida kwa washirika wetu wasiohesabika. Kwa kuwasaidia, kuhamasisha na kujenga ushirikiano na watu wengine, sisi hushiriki kujenga kesho nzuri.