Mbegu kutoka kwa Rijk Zwaan

  • Mbegu za mboga kwa wakulima wa kitaalamu

  • Inafaa kwa kilimo Afrika Mashariki na Magharibi

  • Imechaguliwa na kupimwa kabisa

undefined

Rijk Zwaan Learning

Jiunge na jukwaa letu la mtandaoni ili kupata masomo bila malipo na kwa urahisi, kwenye simu au kompyuta ya mezani.

Habari

The future is sky
Habari09-06-2022
‘The future is sky’
Rijk Zwaan anaangazia umuhimu wa ujasiriamali wa pamoja katika uhamilshaji wa Tango na video ya kwanza katika mfululizo wa siku zijazo
undefined
Habari10-05-2022
Ngogwe/ Nyanya Chungu
Holland Greentech, ni wasambazaji rasmi wa mbegu za Rijk Zwaan nchini Rwanda. Hivi majuzi waliandaa hafla ya kutambulisha Kazinga RZ F1, aina ya Ngogwe au Nyanya chungu.
undefined
Habari27-02-2022
Mubashara…!Jukwaa la Mafunzo kutoka RZ
Rijk Zwaan inafahamu kwamba wakati mwingine msaada wa ziada unahitajika ili kufanikiwa kwenye kilimo. Timu yetu inajivunia kutangaza kwamba kozi ya kwanza ya Rijk Zwaan Learning sasa inapatikana mtandaoni!
undefined

Ushauri kwa wakulima

Kulima Mboga kunahitaji ushauri wa binafsi. Hii ndiyo sababu uhusiano wetu na wakulima unaenda zaidi ya uuzaji wa mbegu pekee.