null
Habari01-07-2024
Rijk Zwaan celebrates 100 years of people, pioneering and ‘moving forward’

Rijk Zwaan, an international fruit and vegetable breeding company, is celebrating its first centenary. Since its foundation in 1924, Rijk Zwaan has grown into a global player active in more than 100 countries. The centenary celebrations kicked off on 1 July, the exact date that the company was originally founded.

The future is sky
Habari09-06-2022
‘The future is sky’

Rijk Zwaan anaangazia umuhimu wa ujasiriamali wa pamoja katika uhamilshaji wa Tango na video ya kwanza katika mfululizo wa siku zijazo

International Field Days 2026
Habari10-05-2022
Ngogwe/ Nyanya Chungu

Holland Greentech, ni wasambazaji rasmi wa mbegu za Rijk Zwaan nchini Rwanda. Hivi majuzi waliandaa hafla ya kutambulisha Kazinga RZ F1, aina ya Ngogwe au Nyanya chungu.

null
Habari27-02-2022
Mubashara…!Jukwaa la Mafunzo kutoka RZ

Rijk Zwaan inafahamu kwamba wakati mwingine msaada wa ziada unahitajika ili kufanikiwa kwenye kilimo. Timu yetu inajivunia kutangaza kwamba kozi ya kwanza ya Rijk Zwaan Learning sasa inapatikana mtandaoni!

null
Habari01-01-2022
Mafanikio na Loleza RZ F1

Rijk Zwaan Afrisem inafanaya tafiti nakuzalisha Pilipili Mbuzi. Lengo ni kutengeneza aina za Pilipili Mbuzi zenye mavuno mengi na ukinzani kwa usalama bora wa mazao. Kuna mkazo mkubwa kwenye ukali lakini pia juu ya harufu, kukomaa haraka na maisha bora ya baada ya kuvunwa.

null
Habari17-12-2021
Kuwekeza katika Ubora na Afya ya Mbegu

Mbegu sio tu mwanzoni mwa mnyororo wa chakula, pia ziko mwanzoni mwa safari ya mkulima kuelekea kwenye mazao yenye mafanikio. Tunatambua mchango wetu katika safari hii na wajibu wetu kwa mafanikio yake. Ndio maana hatujawahi kudharau umuhimu wa ubora wa mbegu.

null
Habari05-12-2021
Kuonja tikiti tamu nchini Rwanda

Holland Greentech (HGT) ni wasambazaji wa mbegu za Rijk Zwaan nchini Rwanda. Hivi majuzi walifanya hafla ya kuonja tikiti tamu kama sehemu ya juhudi za kuleta mazao mapya kwa wakulima nchini humo. Gilbert Tuyisenge kutoka HGT Rwanda anatueleza zaidi: "Wakulima wa Rwanda wanasonga mbele kutoka kwa kilimo cha kujikimu kwenda katika kilimo chenye mwelekeo wa soko huku wakijifunza teknolojia bora za kilimo kama vile nyumba kitalu."

null
Habari18-11-2021
Chapisho la Blogu

Labda unajua kwamba Rijk Zwaan ni kampuni ya kuzalisha mbegu za mboga mboga yenye makao yake Uholanzi, na kwamba Rijk Zwaan imeorodheshwa kama nambari 4 duniani kwa mbegu za mboga mboga, lakini unajua kwamba Rijk Zwaan pia ni kampuni inayomilikiwa na familia?

null
Habari04-11-2021
Miongozo ya Mazao Inapatikana

Rijk Zwaan husambaza mbegu bora za mboga, lakini tunajua kwamba wakati mwingine msaada wa ziada unahitajika ili kufanikisha mazao.

123