SSA | Hero | Grower support

Msaada kwa mkulima

Rijk Zwaan inaendeleza mboga chotara tu. Mbegu hizo zina faida nyingi kubwa:

  • Mavuno mengi zaidi

  • Mavuno ya mapema zaidi

  • Ustahamilivu dhidi ya magonjwa na wadudu waharibifu

  • Siha nzuri ya mimea

  • Maisha marefu ghalani

  • Ukuaji wa haraka

  • Ubora wa hali ya juu na ulingano wa zao

Ukulima wa mboga unahitaji ushauri mahsusi. Ndio maana uhusiano wetu na wakulima ni zaidi ya kuuziana mbegu tu. Ni muhimu kwetu kuhakikisha kwamba mbegu zetu chotara zitatoa matokeo bora, na ndiyo maana tunatumia muda mwingi na jitihada katika kutoa ushauri wa kilimo na mauzo.

Tunaweza kukutegemeza kupitia...

null
Mafunzo ya bure kwa njia ya mtandao

Jiunge na jukwaa letu la mtandaoni ili kupata masomo bila malipo na kwa urahisi, kwenye simu au kompyuta ya mezani.

null
Ushauri binafsi

Tunatoa ushauri binafsi kuwawezesha wakulima kufikia kiwango cha juu zaidi cha mavuno kwa zao husika.